Mfumo wetu unakuwezesha kuendesha biashara yako kwa urahisi, usalama, na ufanisi mkubwa. Unaweza kuona kinachoendelea dukani hata kama haupo dukani. Kila siku utapokea SMS kukujulisha mwenendo wa biashara yako.
Inatumia Nchi
Bidhaa Zinazodhibitiwa
+ Matawi kwa Mfumo
Support /7 Siku zote
Tunatoa suluhisho bora kwa mahitaji yako ya kibiashara
Mfumo rahisi kutumia, hata kwa mtumiaji asiye na uzoefu wa teknolojia. Interface yake ni user-friendly.
Data zako zinalindwa kwa viwango vya juu vya usalama na encryption. Backup za kila siku.
Bei nafuu na inamudu kwa kila aina ya biashara. Pata thamani zaidi kwa gharama kidogo.
Msaada wa kila saa, siku zote za wiki. Timu yetu iko tayari kukusaidia wakati wote.
Mfumo wetu unakupa uwezo wa kuandaa reports mbalimbali kwa urahisi na kwa wakati halisi.
Ripoti kamili ya ununuzi na wasambazaji wako
Ripoti ya mauzo ya kila siku, wiki na mwezi
Jua faida halisi na hasara za biashara yako
Fuatilia gharama na matumizi ya biashara yako
Ripoti ya mtaji na uwekezaji wako
Salio la bidhaa kwa wakati halisi (Real-time)
Fuatilia bidhaa zinazouzika na zisizouzika sokoni
Ankara za mauzo na manunuzi kwa wateja wako
Nyaraka za utoaji bidhaa kwa wateja wako
Arifa za SMS kwa wateja na wafanyabiashara
Hamisha na pokea bidhaa kati ya matawi yako
Rekodi uwekezaji wa mtaji zaidi kwenye biashara
Usajili na usimamizi wa wasafirishaji wako
Ubao wa maelezo kwa timu yako ya kazi
Kumbusho la deni kwa wadeni kupitia SMS
Usimamizi wa malipo ya mbele kwa wateja
Utendaji wa mauzo kwa mfanyakazi au tawi
Tahadhari ya bidhaa zinazoisha au chini ya kiwango
Tuma SMS kwa wateja kwa SENDER ID ya biashara yako mwenyewe
Akaunti zisizo na kikomo za watumiaji wako
Unaweza kuwa na duka zaidi ya moja katika mfumo wetu. | Kila siku utapokea SMS kukujulisha mwenendo wa biashara yako. Unaweza kuona kinachoendelea dukani hata kama haupo dukani.
Mfumo unaofanya kazi popote duniani Hakuna hasara zaidi
Pata usaidizi wa haraka, training na ufungaji. Tunapatikana 24/7 kwa huduma bora.
Boko Magengeni - Dar es Salaam, Tanzania
info@smtlite.com | Mon-Sat: 8am - 6pm